Akizungumuza na wananchi wa congo katika mji wa Kisangani Rais wa Congo Felix Tshisekedi atangaza kubalisha katiba ya taifa lake kwani katiba hiyo haijibu mahitaji ya wananchi wa Congo.
Kwanza kuhusu muhula wa Rais , kazi za Bunge ,uongozi wa mikoa hasa Kuhusu kazi za wabunge wa Mikoa Pamoja kazi za Waziri mkuu.
Tshisekedi amesema hivi karibuni ataweka kamisheni maalumu itakayo fikiria kuhusu katiba Mpya ,wataalumu ambao wote ni raia wa Congo.
Rais wa Congo ame haidia ajira kwa vijana wakati wote wa muhula wake
Pamoja na hayo Rais wa DRC ametangaza kuanzisha mradi wa Afia bure kwa wanawake kote DRC akianzia Mji wa Kinshasa.
Tshisekedi ameomba wananchi wa Congo kuungana kama Mutu mmoja kwa ajili ya ujenzi wa msikamano Umoja na maendeleo ya taifa.
Rais wa Congo amewasili katika Mji wa Kisangani leo juma tano tarehe ishini na 23 ambako atafanya siku mbili.
Wakaazi wa Mji wa Kisangani wakilalamikia umeme na miondombinu ,hasa barabara yenye kuwaunganisha na mikoa nyingine ya mashariki.Mji wa Kisangani ulishuhudia vita vya siku sita kati ya wanajeshi wa mataifa mawili yaani Rwanda na Uganda na kusababisha maafa Mengi ilio sababisha uharibifu mwenge wa mali.